Pakua Habari

Onesha kichujio cha hali ya juu
Matokeo ya Utafutaji: 69 mechi zilizopatikana

Jina lipitalo Majina yote
Yesu alipewa jina hili kwa kuwa alipewa na Mungu mwenyewe na alipewa jukumu la kuokoa watu nadhambi zao. Jina Yesu ni mwokozi
Na: Gelard Johnas Mayori
(Lifeword)
Aired on Desemba 12, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:14:13 min.
Ukubwa
13MB
MP3

Wokovu ni sasa
Kuokoka siyo baadaye ni sasa kwani baada ya kifo ni hukumu.
Na: Gelard Johnas Mayori
(Lifeword)
Aired on Desemba 12, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:14:23 min.
Ukubwa
13MB
MP3

Umuhimu wa Roho Mtakatifu
Mtu aliye na roho mtaka ananguvu ya kutangaza Habari Njema. Na nguvu ya kushinda majaribu.
Na: Joseph Silibeti
(Lifeword)
Aired on Desemba 12, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:14:06 min.
Ukubwa
13MB
MP3

Sadaka inayogusa Moyo wa Mungu
Moyo wako unaguswaje  na sadaka unayoitoa. Sadaka ikigusa Moyo wako itamgusa Mungu pia.
Na: Gelard Johnas Mayori
(Lifeword)
Aired on Desemba 12, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:14:28 min.
Ukubwa
13MB
MP3

Umuhimu wa Kumtia Moyo Mchungaji
Baraka za watu ziko katika watumishi wa Mungu. Kumtia moyo mhcungaji ni kujizolea baraka kutoka kwa Mungu.
Na: Gelard Johnas Mayori
(Lifeword)
Aired on Desemba 12, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:14:53 min.
Ukubwa
14MB
MP3

Yesu ni Njia ya Kweli na Uzima
Yesu Ndiye njia ya Kwenda kwa Baba. Kila mtu anahitaji kujua hilo. Yesu alijieleza na akaweka wazi. Ukimkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa Maisha yako Utaokoka.
Na: Andrea A. Nangi
(Lifeword)
Aired on Desemba 12, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:14:14 min.
Ukubwa
13MB
MP3

Viumbe vyote vimeamuliwa kumsifu Mungu
Watu wengi wamekosea kumsifu Mungu kwa sababu tumeshindwa kufundisha maadili ya Kikristo kwa watoto. Tuweke Misingi kusifu kuanzia kwa watoto wadogo.
Na: Andrea A. Nangi
(Lifeword)
Aired on Desemba 12, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:14:28 min.
Ukubwa
13MB
MP3

Je, Ukristo unahitaji Afya?
Kitu chochote duniani kinahitaji afya na ndo watu wakiugua wanakwenda kutibiwa na wanakula ili kupata afya ya kuishi.
Na: Andrea A. Nangi
(Lifeword)
Aired on Desemba 12, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:14:18 min.
Ukubwa
13MB
MP3

Je, Mwanadamu ni Mfano wa Mungu?
Mwanadamu anafanana na Mungu kwa utu wa ndani. Ile nafsi hi ndo inatufanya tufanane na Mungu kwa sababu nafsi hiyo inamfanya mwanadamu awe na uwezo wa kuchagua jema na baya.
Na: Joseph Silibeti
(Lifeword)
Aired on Desemba 12, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:13:51 min.
Ukubwa
13MB
MP3

Uaminifu
Uaminifu ni kinyume cha kutokutii. Wana wa Israel walikosa uaminifu kwa Mungu. Wakapelekwa utumwani Babeli. Walipomrudia Bwana akawainulia nabii Isaya. Kwa hiyo Uaminifu ni kitu cha mhimu katika Maisha ya Mkristo.
Na: Joseph Silibeti
(Lifeword)
Aired on Desemba 12, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:12:47 min.
Ukubwa
12MB
MP3

Mateso yetu tunayopitia hayafikii yale ya Yesu
Mateso ya Yesu yalikuwa makali mno lakini hakuthubutu kunyanyua mdomo wake alikaa kimya.
Na: Andrea A. Nangi
(Lifeword)
Aired on Desemba 12, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:14:10 min.
Ukubwa
19MB
MP3

Mtumishi wa Mungu kuwa na Maono
Mtu yeyote anayefanya kazi ya Mungu ni mhimu kuwa na maono. Bila kuwa na maono unafanana na kipofu mtu ambaye haoni.
Na: Joseph Silibeti
(Lifeword)
Aired on Desemba 12, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:13:58 min.
Ukubwa
13MB
MP3

Sababu zinazofanya watu washindwe kupokea miujiza yao
Mungu ni Mungu. Ukimwendea Mungu yeye yuko na huwapa thawabu wale wamtegemeao. Upungufu wa Imani unawawafanya watu wasipokee miujiza yao.
Na: Andrea A. Nangi
(Lifeword)
Aired on Desemba 12, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:13:03 min.
Ukubwa
12MB
MP3

Mungu ni Baba na Hawezi Kutuacha
Mungu ni Baba na kila mtu anatakiwa kumwamini kwa kuwa hawezi kumuacha.
Na: Daniel Mayunga
(Lifeword)
Aired on Desemba 12, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:14:30 min.
Ukubwa
13MB
MP3

Uwepo wa Mungu
Usipokuwepo katika uwepo wa Mungu  unakuwa umetenda dhambi. Uwepo ni utimilifu wa Mungu. Sauli alipohama katika uwepo wa Mungu alipata hasara kubwa.
Na: Renatus C. Kanunu
(Lifeword)
Aired on Desemba 11, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:14:31 min.
Ukubwa
13MB
MP3

Je, Jehanamu Ipo?
Jehanamu ipo. Kumbuka habari ya gharika. Hakuna kitu ambacho Mungu atasema na kisitimie.
Na: Eliya Sizya
(Lifeword)
Aired on Desemba 11, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:14:25 min.
Ukubwa
13MB
MP3

Wambie wana wa Israel Wasonge Mbele
Hii ilikuwa ni safari ya Ukombozi kwa wana wa Israel. Maana walijua ilikuwa ni mwisho wa Misha yao pale baharini akawapa moyo kwa kuwaambia wasonge mbele.
Na: Tumaini Mihalalo
(Lifeword)
Aired on Desemba 11, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:14:46 min.
Ukubwa
14MB
MP3

Kufa ni Faida na Kuishi ni Kristo
Maisha ya mtu inatokana na nini kimeujaza Moyo wake. Unahitaji kujiandaa namna  utakavyokufa maana ndo utakavyoishi huko mbele.
Na: Tumaini Mihalalo
(Lifeword)
Aired on Desemba 11, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:14:40 min.
Ukubwa
13MB
MP3

Je, Mungu hakumuona Adam Alipokuwa akimuita katika Bustani ya Edeni?
Mungu alikuwa anamuona kwa sababu yuko kila Mahali. Kanuni ya Mungu huwa anataka mtu aseme mwenyewe mahali alipo kama pazuri au pabaya.
Na: Tumaini Mihalalo
(Lifeword)
Aired on Desemba 11, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:15:06 min.
Ukubwa
14MB
MP3

Usifurahi Adui yangu Niangukapo Nitasimama Tena
Wale wanaofurahi pale maadui wao wanapoanguka wajue jambo hilo ni la Muda tu litaisha na mafanikio yanakuja.
Na: Tumaini Mihalalo
(Lifeword)
Aired on Desemba 11, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:14:41 min.
Ukubwa
13MB
MP3

Mungu anataka akutoe katika Gereza Lako
Gereza la mambo mabaya ambalo limekuzunguka na kukufunga kupitia Jina Yesu unaweza kufunguliwa leo.
Na: Daniel Mayunga
(Lifeword)
Aired on Desemba 11, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:13:59 min.
Ukubwa
13MB
MP3

Zijue kanuni za kufanikiwa kiroho na kimwili
Mafanikio Mazuri huja kwa mtu anayemtanguliza Mungu kwanza. Mtu huyu atabarikiwa kutokea Duniani hadi Mbinguni.
Na: Daniel Mayunga
(Lifeword)
Aired on Desemba 11, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:14:25 min.
Ukubwa
13MB
MP3

Kuna Faida katika kumtegemea Mungu
Kuna faida kubwa katika kumtegemea Mungu. Usipomtegemea Mungu unakuwa kama fukara nyikani
Na: Daniel Mayunga
(Lifeword)
Aired on Desemba 11, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:14:37 min.
Ukubwa
13MB
MP3

Usiogope
Silaha kubwa ya Adui ni hofu. Ukiwa na hofu shetani anafaulu lakini hatutakiwie kuogapa kwa kuwa ulinzi wa Mungu ni mkubwa kuliko kitu chochote.
Na: Renatus C. Kanunu
(Lifeword)
Aired on Desemba 11, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:15:00 min.
Ukubwa
14MB
MP3

Liko Tumaini
Kuna watu wanatamani leo wajiue, waaachike lakini usifanye hivyo liko Tumaini kwaajili yako ambalo ni Mungu kupitia Yesu Kristo.
Na: Renatus C. Kanunu
(Lifeword)
Aired on Desemba 11, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:14:46 min.
Ukubwa
14MB
MP3

Mungu wetu ni Wokovu?
Mungu hajamuacha Mtu, Mungu ana okoa kila mtu ukimkaribisha.
Na: Renatus C. Kanunu
(Lifeword)
Aired on Desemba 11, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:14:50 min.
Ukubwa
14MB
MP3

Je, Mungu atahukumu dhambi?
Mungu atahukumu dhambi pamoja na watenda dhambi. Watu hawahofu juu ya dhambi lakini lazime wajue dhambi itahukumiwa kwa kuwa anaichukia dhambi.
Na: Eliya Sizya
(Lifeword)
Aired on Desemba 11, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:14:38 min.
Ukubwa
13MB
MP3

Nini Maana  ya  Kuokoka?
Watu wengi wanasema hakuna kuokoka.
Na: Eliya Sizya
(Lifeword)
Aired on Desemba 11, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:14:40 min.
Ukubwa
13MB
MP3

Ili Mtu aweze kuokoka anahitaji kufanya nini?
Ili mtu aweze kuokoa anahitaji kumpokea Yesu kuwa bwana na Mwokozi wa Maisha yake.
Na: Eliya Sizya
(Lifeword)
Aired on Desemba 11, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:13:55 min.
Ukubwa
13MB
MP3

Ili Kanisa lipendeze Linahitaji nini?
Ili kanisa liwe na mvuto na lipendeze linahitaji liwe limeunganishwa na Mungu Baba, Mungu Mwana na Mungu Roho Mtakatifu na litii Misingi ya Biblia ambayo ni Neno la.
Na: Andrea A. Nangi
(Lifeword)
Aired on Desemba 11, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:14:46 min.
Ukubwa
14MB
MP3

Lifeword Shows

Click show name below for all episodes
MAOMBI YA KUJIUNGA
CHANGIA SASA